1
Mwokozi wangu alinipenda, maovu hayanitengi naye, Alijitoa kuniponya, sasa mimi wake.
Kiitikio
Mimi wake kabisa, naye Yesu wangu, Si kwa wakati huu tu, bali na milele.
2
Dhambini nilijidhili sana, Yesu akaja kunikomboa, Akanitoa sumbukoni, sasa mimi wake.
3
Furaha nyingi moyoni mwangu, Bwana Yesu kuni- fanya huru, Kunitwaa kwa damu yake, sasa m