217

Omba Sana Asubuhi

1

Omba sana asubuhi, omba sana mchana, Omba sana na jioni, Bwana hutusikia.

2

Mungu hujibu maombi, asubuhi na mchana, Hata hutungojea tena, wakati wa jioni.

3

Na tuimbe asubuhi, tena saa za mchana.