1
Fikira moja tu, hurejea tena, Nimekaribia mbingu, zaidi ya jana.
Kiitikio
Karibu na, kwetu mbingu, Karibu na kwetu sasa, Nikwone karibu.
2
Karibu na kwetu, na kwenye makao, Kiti cha enzi cha Mungu, pahali pa mto.
3
Kamilisha Yesu, kuamini kwangu, Nikifika mwisho wangu, nikwone karibu.