1
Sikia mlio, pesa koponi Zinalialia, zote kwa Yesu.
Kiitikio
Kuanguka kuanguka, pesa koponi, Kila moja kwako, Yesu zipokee.
2
Huanguka pesa, toka mikono, Sadaka kwa Yesu, ya kundi dogo.
3
Tulio wadogo, tuna haba tu, Tuishapo kua, ‘tatoa zaidi.
4
Wenye mali chache, tumpe moyo, Kwa furaha tupu, atakubali.