1
Siku sita fanya kazi, ya saba ni kwa Yesu. Hapo tunapopumzika, kwani ni yake Yesu.
Kiitikio
Moja mbili tatu nne, tano sita zote kwetu, Lakini tutakumbuka, ya saba ni kwa Yesu.
2
Huonyesha ya kufanya, kwa kuwa ni ya Yesu, Na atuonyesha njia, tutamfuata Yesu.
3
Tuombe kila Sabato, na kujifunza kwake, Tutamtii daima, tutakaa na Yesu.