213

Niwe Nao Uzuri

✦
1

Niwe nao uzuri wa Mwokozi, Nazo huruma zake na usafi, Roho Mtakatifu anibadilishe, Aonekane Yesu ndani yangu.