212

Mtazame Mwokozi

1

Mtazame Mwokozi, Usoni mwake mzuri, Mambo ya dunia hugeuka, Uso wake tukiuona.