1
Ewe shule ya Sabato, u pazuri sana, Moyo wangu wanivuta, nije kwako leo.
Kiitikio
Sabato, ni nzuri, Sabato, ni nzuri, Moyo wangu wanivuta, nije kwako leo.
2
Moyo wangu mpotovu, hapa una raha, Ndipo nimwonapo Yesu, nije kwako leo.
3
Hapa Yesu mwenye pendo, aniita pole, Nimtolee moyo Yeye, nije kwako leo.