87

Siku ya Sabato

1

Siku ya Sabato, siku takatifu, Watu wako Mungu wetu, waipenda sana.

2

Uliitakasa, uliibariki, Siku hiyo ya Sabato, siku yako Bwana.

3

Nasi tubariki, tukikuabudu, Katika siku ya raha, siku yako Bwana.

4

Halafu mbinguni, pamoja na Wewe, Tunataka kuzishika, Sabato za Bwana.