1
Wamwendea Yesu kwa kusafiwa? kuoshwa kwa damu ya Kondoo? Je, neema yake umemwagiwa? Waoshwa kwa damu ya Kondoo?
Kiitikio
Kuoshwa, kwa damu itutakasayo ya Kondoo, Ziwe safi nguo nyeupe sana, waoshwa kwa damu ya Kondoo?
2
WamwandamadaimaMkombozi? waoshwakwadamuyaKondoo? Yako kwa Msulubiwa mavazi? waoshwa kwa damu ya Kondoo?
3
Atakapokuja Bwana-arusi, uwe safi katika damu! Yafae kwenda mbinguni mavazi, waoshwa kwa damu ya Kondoo?
4
Yatupwe yalipo na takataka, uoshwe kwa damu ya Kondoo, Huoni kijito chatiririka, uoshwe kwa damu ya Kondoo