136

Unifundishe Baba

1

Unifundishe Baba, ile njia ya sala, Uniendeshe sana, niwe kama Yesu.

Kiitikio

Niwe kama Yesu, niwe kama Yesu, Uniongoze baba, niwe kama Yesu.

2

Unipe pendo baba, watu kuwaokoa, Nyumbani na mjini, niwe kama Yesu.

3

Na unifahamishe, wakati ndio mfupi, Unibidishe Bwana, niwe kama Yesu.