162

Tumaini Liko

1

Tumaini liko la thamani kuu, Kupita anasa tupu zake ulimwengu.

2

Pana nyota nzuri nuru itoayo, Kwetu wakati wa kifo ndio ufufuo.

3

Zikiumwa roho na hofu mashaka, Sauti hutuambia Mungu hutupenda.

4

Kutoka Kalwari sauti hunena, Nyota ni nuru ya mbingu tumaini letu.