183

Furaha na Raha

1

Furaha na raha tutapata, furaha na raha tutapata, Furaha na raha tutapata, Yesu anaporudi.

Kiitikio

Yesu anaporudi (rudi), Yesu anaporudi (rudi), Furaha na raha tutapata, Yesu anaporudi.

2

Tutaimba nyimbo za shangwe kuu, Tutaimba nyimbo za shangwe kuu, Tutaimba nyimbo za shangwe kuu ,Yesu anaporudi.

3

Hapana machozi arudipo, hapana machozi arudipo, Hapana machozi arudipo, kwa wateule wake.