1
Mkate wa mbingu mega kwetu, ulivyotoa kwa thenashara, Katika kitabu twakuona, Moyo unatweta kukutana.
2
Neno la ukweli libariki, tusikie mwito wa upole, Vizuizi vyote vitakoma, tena tutapata uungwana.
3
Uzima na nguvu utanena, nakimbilia kukufuata, Lakini mnyonge ndiye mimi: naye mshindaji ndiye wewe!