1
Kitambo Bwana yuaja, atafute kote Vito vya thamani kubwa, mali yake kuu.
Kiitikio
Kama nyota tajini, vitang’aa sana, Vito vizuri kweli, vyenye thamani.
2
Karibu atakusanya, vito kwa ufalme, Vizuri vinavyong’aa, mali yake kuu.
3
Watoto wote wadogo, wampendao Yesu, Ndiyo vito ving’aavyo, mali yake kuu,