1
Anipenda ni kweli, Mungu anena hili, Sisi wake watoto, kutulinda si zito.
Kiitikio
Yesu Mwokozi, ananipenda, Kweli hupenda, Mungu amesema.
2
Kwa kupenda akafa, niokoke na kifo, Atazisafi taka, sana ataniweka.
3
Anipenda kabisa, niuguapo sasa, Anitunza mbinguni, niliyelala chini.
4
Kunipenda haachi, tu sote hapa chini, Baada ya mashaka, kwake tanipeleka.