1
Nilinawa mikono, safi asubuhi, Itende kazi kutwa, kwa Yesu Mwokozi.
Kiitikio
Kaza sana macho, njiani kote, Utende kwa Yesu, kazi njema tu.
2
Natega masikio, nitambue wasaa, Mikono na itende, upole daima.
3
Macho yangu yachunga, mikono kazini, Ilindwe maovuni, impendeze Yesu.