1
Karibu sana univute, karibu sana daima niwe, Bwana napenda unishike, unilinde nisitengwe nawe, Unilinde nisitengwe nawe.
2
Karibu sana sina kitu, sina sadaka kwa Bwana Yesu, Isipokuwa moyo wangu, uutakase katika damu, Uutakase katika damu.
3
Karibu sana wewe nami ninafurahi kuacha dhambi, Anasa zote na kiburi, nipe niliyemsulibisha, Nipe niliyemsulibisha.
4
Karibu ssana hata mwisho, hata mbinguni nisimamapo, Daima dawamu niwepo, nitakapoona uso wako, Nitakapoona uso wako.