47

Ni Heri Kifungo

1

Ni heri kifungo kinachotufunga, Mioyo yetu kwa pendo pendo la Kikristo.

2

Mbele ya Baba tunatoa sala, Hofu nia masumbufu yetu ni mamoja.

3

Tunavishiriki matata na shida, Na mara nyingi twatoa chozi la fanaka.

4

Tunapoachana moyoni twalia, Lakini tutakutana mwisho mbinguni.