1
Ninakupenda zaidi, ya vyote vingine; Kwani umenipa raha, na amani Bwana.
Kiitikio
Nusu haijatangazwa (tangazwa) ya upendo wako, Nusu haijatangazwa (tangazwa) damu hutakasa (takasa).
2
Nakujua u karibu, kuliko dunia, Kukukumbuka ni tamu, kupita kuimba.
3
Kweli wanifurahisha, na nitafurahi, Pasipo upendo wako naona huzuni. 4Itakuwaje Mwokozi, kukaa na wewe, Ikiwa ulimwenguni tuna furaha hii?