6

Kumekucha kwa Uzuri

1

Kumekucha kwa uzuri, nafumbua macho, Baba amenihifadhi, ni wake mtoto.

2

Bwana niwe leo kutwa, ulinzini mwako, Nisamehe dhambi, niwe mikononi mwako.

3

Roho wako anikae, moyoni daima, Anitakase nione, uso wako mwema.