1
Kesha roho yangu, adui maelfu Hujaribu kuangusha, kuvuta dhambini.
2
Ukeshe uombe, ili usishindwe, Fanya vita kila siku, omba msaada.
3
Kushinda ni bado, ulinde silaha, Usiache kupigana, hata una taji.