9

Mwumbaji Mfalme

1

Mwumbaji Mfalme, vitu vyote vyako, Ni kwa ukarimu wako ninabarikiwa, Ni kwa ukarimu wako ninabarikiwa.

2

Uliyeniumba, Nakutegemea, Sina budi kuzisifu hisani zako kuu, Sina budi kuzisifu hisani zako kuu.

3

Nitatoa Nini? Kwanza vyote vyako, Upendo wako wadai moyo wa shukrani, Upendo wado wadai moyo wa shukrani.

4

Nipewe neema, Niwe na uwezo, Wa kuishi kwako, Bwana siku zangu zako, Wa kuishi kwako, Bwana siku zangu zako.